News

Dkt Samia: Napunguza msafara wangu kupunguza matumizi ya mafuta

Published

on

Na Mwandishi wetu, News info

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, ametangaza mpango wa kupunguza ukubwa wa msafara wake, ikiwa ni hatua za mwanzo za kukabili matumizi ya mafuta, kutokana na kupanda kwa bei ya nishati hiyo duniani.

Katika utekelezaji wa hilo, Dkt Samia amesema wakuu mbalimbali wa idara wanaoongozana naye katika misafara hiyo wakiwa na magari yao, kwa sasa wote watapanda kwenye basi moja na kuacha magari yao.

Dkt Samia ametoa kauli hiyo Ikulu jijini Dodoma leo, Jumatano Aprili 8, 2026, alipohutubia baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua wiki iliyopita.

“Msafara utakuwa gari yangu, escort yangu ya polisi na gari ya akiba nyuma, waliobakia wote nawaingiza kwenye basi tupunguze matumizi ya mafuta,” amesem

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
0 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments

Trending

Exit mobile version