News

SABASABA AONGOZA CUSTOMER FORUM DODOMA

Published

on

Na Mwandishi wetu, Newsinfo Online

Benki ya DCB imefanya Customer Forum jijini Dodoma, ikilenga kuongeza mahusiano na wateja na kusikiliza maoni yao kwa ajili ya kuboresha huduma.

Mkutano huo uliendeshwa na Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Bw. Sabasaba Moshingi, na uliwahusisha wadau mbalimbali wakiwemo wateja wakubwa, wafanyabiashara na viongozi wa jamii.

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
0 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments

Trending

Exit mobile version